MAARIFA360 APP

Download App Yetu

Soma vitabu, mafunzo na maarifa ya MAARIFA360 kwa urahisi zaidi kupitia app yetu.

DOWNLOAD APP

MAARIFA360

Vitabu vifupi, maarifa mazito, usomaji safi na wa kisasa

PRIVACY POLICY

MAARIFA360

Privacy Policy

Sera hii inaeleza jinsi MAARIFA360 inavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa za watumiaji.

1. Taarifa Tunazokusanya

Tunaweza kukusanya taarifa ndogo za kawaida kama jina, email, au mawasiliano unapotutumia ujumbe, kuomba huduma, au kuwasiliana nasi kupitia website yetu.

2. Namna Tunavyotumia Taarifa

Taarifa zako zinaweza kutumika kwa madhumuni ya kukujibu, kukupa msaada, kuboresha huduma zetu, au kukupa taarifa muhimu zinazohusiana na MAARIFA360.

3. Ulinzi wa Taarifa

Tunajitahidi kulinda taarifa zako dhidi ya matumizi mabaya, upotevu, au ufikiaji usioruhusiwa. Hata hivyo, hakuna mfumo wa mtandao ulio salama kwa asilimia 100.

4. Cookies na Teknolojia Nyingine

Website hii inaweza kutumia cookies au teknolojia zinazofanana ili kuboresha matumizi ya mtumiaji, kuelewa tabia ya watumiaji, na kuboresha huduma.

5. Links za Nje

Website yetu inaweza kuwa na links za kuelekea kwenye websites au huduma za nje. Hatuhusiki na sera au usalama wa websites hizo za nje.

6. Mabadiliko ya Sera

Tunaweza kubadilisha Privacy Policy hii wakati wowote kulingana na maendeleo ya huduma zetu. Mabadiliko hayo yataanza kutumika mara moja baada ya kuchapishwa kwenye site.

7. Mawasiliano

Kwa swali lolote kuhusu Privacy Policy hii, wasiliana nasi kupitia:
Email: ravensclients@gmail.com
Phone: +255739251425
Website: www.maarifa360.co.tz