Kwanini Hufanikiwi

KWANINI HUFANIKIWI

MAARIFA360 KITABU

KWANINI HUFANIKIWI

Ukweli mchungu kuhusu tabia, tamaa, na sababu za ndani zinazokuzuia kufika unapopaswa kufika.

Dunia haikosi watu wanaofanya kazi. Haikosi wafanyabiashara. Haikosi watu wanaojituma kila siku. Lakini ina watu wengi sana ambao wanajituma — lakini hawafiki popote. Wanajaribu kila kitu, wanaanza vitu vipya, wanahangaika kila kona… lakini maisha yao hayasogei mbele.

Kumbuka: Bonyeza SOMA KITABU kwenda moja kwa moja kwenye page ya kusoma chapter ya kitabu hiki.

Umeipenda makala hii? Washirikishe wengine kupitia WhatsApp.

Share WhatsApp

Maoni ya Wasomaji

Maoni yataonekana hapa kama comments zimewashwa kwenye post hii.

Andika Comment