WAANDISHI

Kwa Waandishi

Leta Kitabu Chako Kifupi Maarifa360

Tunapokea kazi fupi zenye maarifa, hadithi zenye mafunzo na maandiko ya kujenga jamii.

Tunachopokea

Kama una kitabu kifupi kinachoweza kuelimisha, kuburudisha au kusaidia jamii, tuma kwa Maarifa360 kwa ajili ya kuchapishwa.

  • Maarifa: maisha, biashara, tabia, familia, fedha na maendeleo binafsi.
  • Hadithi: simulizi fupi zenye mafunzo na ujumbe wa kijamii.
  • Ushauri: maandiko yanayotoa mwanga kwenye changamoto za maisha.

Kitabu chenye Password

Ukitaka kitabu chako kisomwe kwa password, tueleze. Tutaweka maelekezo ili msomaji akuombe password moja kwa moja kupitia WhatsApp yako.

Tuma Kitabu

Email: ravensclients@gmail.com

Piga Simu: +255739251425

Tuma faili la Microsoft Word: .doc au .docx. Ambatanisha jina la mwandishi, jina la kitabu na namba ya WhatsApp.

Umeipenda makala hii? Washirikishe wengine kupitia WhatsApp.

Share WhatsApp

Maoni ya Wasomaji

Maoni yataonekana hapa kama comments zimewashwa kwenye post hii.

Andika Comment