JICHO LA USALITI

JICHO LA USALITI

MAARIFA360 HADITHI

JICHO LA USALITI

Umoja wa kinafiki unaojengwa juu ya siri, tamaa, usaliti na mwisho wa kujitambua.

Jicho la Usaliti ni hadithi inayomfuata Ian baada ya kupoteza mama yake na kubeba jukumu la kumtunza mdogo wake Jane. Katika safari ya maisha, Ian anakutana na Edwin na Robert, vijana wenye akili, ujanja na tamaa ya kupata mafanikio kwa njia zisizo sahihi.

Wakiwa pamoja, wanaanzisha mpango wa “kanisa huria” unaotumia taarifa za siri, upelelezi na udanganyifu kuwatega watu wenye madaraka. Lakini fedha zinapoingia, urafiki wao unaanza kupasuka. Kila mmoja anaanza kuvutwa na maslahi yake binafsi.

Hadithi hii inaonesha namna usaliti unavyoanza taratibu ndani ya watu wanaodai kuwa wamoja, na namna tamaa inavyoweza kuharibu ndoto, urafiki na dhamira ya mtu.

Kumbuka: Bonyeza SOMA HADITHI kwenda moja kwa moja kwenye page ya kusoma hadithi hii.

Umeipenda makala hii? Washirikishe wengine kupitia WhatsApp.

Share WhatsApp

Maoni ya Wasomaji

Maoni yataonekana hapa kama comments zimewashwa kwenye post hii.

Andika Comment